Maxi Nzengeli atasalia Jagwani

by NGINDOMEDIA
1746214190369

πŸ’’… Rasmi Young Africans SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imeanza mazungumzo na kiungo mshambuliaji fundi wa kimataifa wa DR Congo πŸ‡¨πŸ‡© Maxi Nzengeli ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia Wananchi kwa misimu miwili ijayo.

#MalomJnr #AfricanFootball

Related Posts

Leave a Comment