16
Mido ya mpira Raia wa Tanzania 🇹🇿 @official_alphonce.mabula66 amefunga bao pekee kwa timu yake ya Shamakh ambayo hii leo imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Sabail kwenye Ligi kuu ya huko Azerbeijan
Kwenye mechi nne mfululizo Alphonce amefunga mabao 3 na kutoa assist moja hii inamuweka kwenye wastani wa kuhusika kwenye bao moja kila anapoanza
Games-4
Goals – 3
Assist- 1
Safi sana Mido , uko na bendera ya Tanzania mabegani hapo nchini Azerbaijan 🇦🇿 #ainakufeli 🇹🇿