17
Ikitokea tena siku mkanisikia nasema tena JEAN CHARLES AHOU hafai kuanza kwenye hii timu yangu, tafadhalini mje mniwashe makofi, Mimi mkinisikia nasema Ahoua hafai kwenye hii timu mje mnipige vibao😀
Mpanzu alizoea anaiweka halafu apite aikute njiani leo kila akijaribu hakuna mwenye ubongo wa Ahoua pale mbele.